Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,789
- 20,970
Mashuti yote ya Spain yamemlenga kipa.
Mama mchungaji heshima yako.😅😅😅😅😅
Muda wa kubishana unaoata wapi?Mashabiki wa Ronaldo leo kazi mnayo mchague upande wa Messi au Yamal
Hii tunasema ukikaa nchale ukisimama nchale
Minyumbuliko flani hivi.Maminyoo
Itakua mbya sana, mechi wameishikaHii mechi Spain anapoteza 🤔
Kazi mnayo timu Goti mwituMuda wa kubishana unaoata wapi?
Bana makagari uungane na wenzako kumsaidia Dwarf huko
Spain wanapiga ilimradi, on target zao ni sawa na off target. Kipa hata haruki wala nini anajichukulia mpira. Spain wanamalizia vibaya hata hawatumii nguvu.Mashuti yote ya Spain yamemlenga kipa.
Azam tv burudani kwa wote 😹Nlikuwa(ga) na mmoja wa mikoa ya huko kusini naona kama yale yale tu ya wanyiramba.