technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,677
- 58,636
Argentina wanatembeza kiatu duh ๐๐๐๐๐๐๐
Hamna!!!Ndio huwa wanaanza na low ball...karibia mechi zao zote walianza hivi.
Ye mwenyewe hataki kupumzika.๐๐๐
Huu uzi unaniboa habari za Ronaldo na messi
Tumechok jmn
Mpumzisheni basi huyo ronaldo
๐ฏ%.Huyu dogo Lamine Yamal fundi Sana, hata the way anavyoreceive Mipira kwangu Mimi team Argentina huyu dogo Ni WA kuchunga mnoo
Daah umewakalia kooni Argentina
Nitafurahi sn wakishindaLeo Argentina kazi wanayo Spain iko moto sana ina uchu wa kombe wajiangalie.
Wallah huu mtanange sijawahi hata kutizama,Mawardat leo unashabikia wapi love
Ila ana goli 1 tu so far.
Lazima afunge huyo dogo kuna namna Argentina wanafanya sana makosa huo upande.Upande wa Yamal ndio uliwaliza Ufaransa goli mbili na la tatu kukataliwa Argentina wawe makini sana na ndio upande ulio wakosa kosa Argentina mpaka sasa.
Mimi ndio refa, asante....๐ฅฐRefa nimempenda bure.
Chondechonde asije kuanza kuleta uteam mbeleni.
Potelea pweteIla ana goli 1 tu so far.