Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,920
- 131,695
Unafahamu nacho kizungumza leo, kiliwahi kuzungumzwa na Messi miaka 7 iliyopita?Infantino ndio alifanya Ronaldo asiwafunge congo? Akamzuia Ronaldo pia asishinde mechi na Colombia? Akamzuia pia asiende robo fainali?
Hapa unaweza kuniambia Messi alikuwa ana maanisha nini?
Kwamba haya malalamiko yake kuwa mashindano yamekuwa rigged kwa Brazil alikuwa ana maanisha Raisi wa FIFA ndio aliyewazuia Argentina kutoifunga Brazil kwenye mashindano ya Copa America?