Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,455
- 99,861
Refa nimempenda bure.Refa hacheki na wowote
Chondechonde asije kuanza kuleta uteam mbeleni.
Refa nimempenda bure.Refa hacheki na wowote
Fifa imeliuza soka kwa matajiri/mabeberu...Unaambia bei ya tiketi leo ni hatari
Be patient....Argentina hata sielewi mpira unachezwa kulia tu
Tunaye sana huyo MessiLeo Messi anastaafishwa rasmi na kinyago alichokichonga mwenyewe 😹
Mpaji Mungu japo France tumetolewa lakini tuko Spain au sio?
Una shingapi tubet hapaTunaye sana huyo Messi
Kumbe utaratibu umebadilika?Half time
Ronaldo hana hat trick hata mojaWorld Cup Knockout hattricks:
Goncalo Ramos: 1
Bukayo Saka: 1
Lionel Messi: 0View attachment 3632485
sawaBe patient....
Anazurura anakagua matobo..😃😃Messi bwana anatembea tu uwanjani ila akipata nafasi ni kilio kwa timu pinzani.