Acha ubish maandazi Mzee Hilo tukio la Mo Salah beki aliucheza mpira kwanza akautoa miguuni mwa mo Salah na mo Salah akawa ameanza kutangulia kuanguka before mguu wake haujaugusa mguu wa beki wa Argentina, ingekuwa ni faulo endapo kama beki wa Argentina angekuwa ameugusa mguu wa mo Salah Bila ya beki huyo kuwa ameugusa mpira , Lakini beki akianza kuugusa mpira first akautoa nje ya contact foot ya mo Salah --- watu wenye Akili zao wamekaa wamepitia hizo review na hawaona kosa hapo wewe umeweka clip sijui Ina second 4 what are you trying to hide !?
Kwanini haujaweka move ya Mo Salah ilipo kuwa imeanzia wakati anajaribu kuingia ktk box !? Huo mpira beki alitangulia kuucheza first before hiyo miguu ya Salah na huyo beki haujaugusana
Tukienda kwenye faulo ya misri iliyo changia goli lao kukataliwa yule mchezaji wa misri sio tu kwamba mguu wake uligusana na beki wa Argentina but ukweli ni kwamba alimkanyaga na pia nyuma ya mgongo alikuwa anamvuta jersey yake kwanini mnaficha ukweli 😁😁😁
Hizo review sote tumezipitia , Tena baada ya watu wengi kuzipitia wamejikuta wanawaona Egypt wapumbavu cause wanalalamikia kitu ambacho hakipo wana wacheka Kwa kushindwa kwao kukaza msuli kuzuia magoli yasirudi , Egypt walipatia chance wameichezea wao wenyewe hakuna upendeleo wowote uliofanywa Kwa Argentina
And BTW tufanye Argentina na Messi wana pendelewa
Nimejiuliza swali huyo GOAT wako Aliwahi kuisaidia nini Portugal walau kufika nusu final tu ya kombe la Dunia ktk nyakati zote ambazo Amewahi kushiriki !?
Je Amewahi kufunga goli la kuwapeleka nusu final halafu likakataliwa !? Kama hajawahi hata kufanya hivyo mara 6 zote alizowahi kucheza WC hizo guts za kumchukia Lionel Messi anapofanya mazuri mnaitoa wapi !? 😁😁😂
Scars