Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,490
- 2,730
Ameunga Harry Kane!!!Nani anaunga hapa leo
cc ScarsKuna yule Fara alikuwa anatuma viclip vya faulo yuko wapi??
Najua kasha hamia geto la wanaume wa Spain... kabadilisha mageto sana huyu.
England ilishinda World Cup mwaka 1966. Hawajawahi kushinda tena.Hivi huo mwaka walishinda ubingwa?
Patamuuuu!!!MESSI asipowafunga goal atatoa assist awamalize kiroho mbaya. Kwahiyo uchaguzi ni wako afunge goal aongeze rekodi ya dunia au atoe assist aongeze rekodi ya dunia.
Safii fire π₯Ameunga Harry Kane!!!
Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Sio shida kuwa shabiki wa CR7 cuz ni mchezaji mzuri sana kila mtu Duniani anatambua hilo.
Shida ni wewe pusi mnuko kuja kuandika ujinga hapa na kumdharau Messi na Argentina π¦π·.
Dah hakuna hata aliyewashuhudia wakitwaa ubingwaEngland ilishinda World Cup mwaka 1966. Hawajawahi kushinda tena.
Mechi ile ya misri wa Argentina walinifanya niaibike sana Ndiyo maana nikatoa huo ukumbusho mkuuPunguza unyonge mkuu mpaka hapo watakaposhinda, lakini kwa sasa lazima tuwanyamazishe hapa
Noma sana..Naona Messi amepunguza Noise Pollution, kuanzia humu kwenye jukwaa mpaka mitaani.
Hatari huyu binadamu...
Fainali ya 3 hii ya La Pulga ....Argentina kama sisiem kmmk