Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,174
- 8,966
Yes wamelingana, hata wakibaki sare, MESSI akicheza fainali tu anapewa kiatuHivi si wamelingana?? Kesho Messi akiweka tuu baaaaas, kombe hatuna presha nalo sana
Yes wamelingana, hata wakibaki sare, MESSI akicheza fainali tu anapewa kiatuHivi si wamelingana?? Kesho Messi akiweka tuu baaaaas, kombe hatuna presha nalo sana
Akishinda uingereza uingereza bingwaKama sio katika huu uzi basi kuna uzi nilisema Spain bingwa kabla hata mashindano hayajaanza.
By the way mechi ya kesho anashinda Uingereza
Fainali ni Uingereza na Uispania Bingwa Spain.
Duh!.. wajukuu wa Charles wanatinga fainali kesho?...Kama sio katika huu uzi basi kuna uzi nilisema Spain bingwa kabla hata mashindano hayajaanza.
By the way mechi ya kesho anashinda Uingereza
Fainali ni Uingereza na Uispania Bingwa Spain.
Athletico BilbaoAnachezea timu gani mpaka yule wa aseno anakosa no?
Dah!... Hispania wana future nzuri sana ya Soka...Dikteta bhana, analeta uswahili wake
Vipi,,,,,bado nisubiri kuona?Subirini uone
Sawa sawa, timu ronado tunalia na mengiYes wamelingana, hata wakibaki sare, MESSI akicheza fainali tu anapewa kiatu
Labda mbeleni watabadilika...Eti hapa ndo kuna future baloon d or 👎👎👎😏😏😏
Siyo mbape wala lamine wote ni 🚮🚮🚮, sioni watu wakuja kuvaa viatu vya Messi na Ronaldo
England alifungwa na Spain Euro fainal same kwa ufaransa.Akishinda uingereza uingereza bingwa
Kwa hakika.Siamini macho yangu nachokiona