2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Eti hapa ndo kuna future baloon d or 👎👎👎😏😏😏

Siyo mbape wala lamine wote ni 🚮🚮🚮, sioni watu wakuja kuvaa viatu vya Messi na Ronaldo
Na huu ndio ukweli nina imani labda baada ya miaka 50-100 atakuja kutokea mchezaj wa kuvunja rekodi ya Messi na Ronaldo.
Kwa hawa watoto akina Lamine na Mbappe, sio hata dalili
 
Back
Top Bottom