Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 458
- 919
Refa ameanza kuogopa mikwara ya Messi.
Hapa unapoondoka. Aaaa kile cha alfajiri bana.Dah huduma ipi hiyo tena?
Unirudishe wapi?
Dah ni huzuni i wish i cudu be an IGP 😅Hapa unapoondoka. Aaaa kile cha alfajiri bana.
🤣😂👽 Hii doria yako ya mtandaoni labda umkamate Penaldo yupo Potugo anacheza kimama mama na mkeweRefa ameanza kuogopa mikwara ya Messi.
NAkusubiria.Dah ni huzuni i wish i cudu be an IGP 😅
Sina wa kumpa.
Haunirudishi…..huku ni kwangu na Dar ni kwangu. Sema nikushtue nikiwepo. Ila hilo jina 🤦🏻♀️
Sharp!NAkusubiria.
Jamaa anakerwa na Messi... Sijui jamaa anaishije maana Messi is everywhereScars amelaza fuvu kesho akiamka atasema assist ya Messi 🐐 ilikuwa ni kona ya offside 🤣😂👽 huyu tukimundekeza atakuja kusema Tz ilitakiwa kucheza WC tatizo walinyimwa magoli na Mangungu wa 5imba
Ufike salama.Sharp!
Umeiwahi lakini.Alarm ya simu yangu ilidukuliwa na Scars sijui... Eti ndo nashituka yenyewe haijalia wala nn na mechi iko HT
View attachment 3627412
Umeamshwa na alarm ya kiroho ya goat 🐐 MESSIAlarm ya simu yangu ilidukuliwa na Scars sijui... Eti ndo nashituka yenyewe haijalia wala nn na mechi iko HT
View attachment 3627412