Andreas💥💥💥We unaona hapo uwanjani wanacheza kitu gani
Ni kweli...ila si unaona tayar Norway kashafanya yakr hukoKwenye soka lolote linaweza kutokea lakini sioni namna gani Wanaweza kupambana na Argentina. Argentina safari yake itafika mwisho kama atakutana na England semi final
Ila uliona Haaland alivyokosa goli?Duuh tumepigwa
Mechi haijaishaNi kweli...ila si unaona tayar Norway kashafanya yakr huko
Inakuwaje pale! Mbona kama Kane alikwatuliwa?binti kiziwi njoo tuangalie hii mechi, Mimi natamani England itolewe japo najua Wanaweza kupita
🤔 ni mbinafsi?Halland hafurahii wenzie wakifunga
Nimeona ile labda refa kauzu kama wa Paraguay/FranceMbona kama Kane alichezewa faulo?
Kama watoto wa shule🤔 ni mbinafsi?
UtotoKama watoto wa shule