2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Molina ni reliable kuliko chombo chochote kile cha habari cha michezo, ni Julian Asange wa Mpira, scandal karibia zote kubwa yeye ndio whistleblower, ana reports kwa mamia zikiwa na accuracy kubwa mno.

Hii mega thread ya report zake zote kama humjui


View: https://www.reddit.com/r/soccer/comments/qx8akt/megathread_romain_molinas_the_guardian_ny_times/

"..Ni reliable kuliko chombo chochote cha michezo..."? Hii kauli tu Inatosha kupuuza unachosema, how a random person akawa reliable kuliko chombo chochote cha michezo?? Hata Fabrizio bado hawezi kuwa na hii leverage

Pia Ukimaanisha basi hata FBI wanaochunguza hilo jambo nao sio reliable? Tunasubiri Molina? Hata hivyo Mbona hakuna alichosema ambacho hakijasemwa??
 
Mkuu England ndio timu yangu ya kwanza.
Hata kabla mashindano haya hayajaanza.
Nawakumbuka sana wewe na Mtaachana mlivyokuwa mstari wa mbele kunisagia kunguni...

Haya hawa hapa tuko robo fainali.
Hivi kane kuna game yoyote ashapata kadi ya njano? Maana takwimu zinaonyesha leo akipata kadi pamoja Bellingham hata wakishinda next game hawatohusika au Trump atapiga simu
 
Back
Top Bottom