2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

"..Ni reliable kuliko chombo chochote cha michezo..."? Hii kauli tu Inatosha kupuuza unachosema, how a random person akawa reliable kuliko chombo chochote cha michezo?? Hata Fabrizio bado hawezi kuwa na hii leverage

Pia Ukimaanisha basi hata FBI wanaochunguza hilo jambo nao sio reliable? Tunasubiri Molina? Hata hivyo Mbona hakuna alichosema ambacho hakijasemwa??
We jamaa kilaza kweli, Fabrizio yupo banned chombo chochote kile serious cha habari, sub zetu za Man U, Chelsea, Arsenal etc kote yupo banned sababu ni Mzee wa Tap In anasubiri habari toka waandishi wakubwa ili aseme na yeye, umfananishe na Molina?

There is a reason why Vyombo vya habari vikubwa anapublish investigative reports zake bila hata kuajiriwa huko, he is that respected.
 
Wewe sasa ndio kilaza, yupo banned kivipi. Taarifa nyingi zake watu huamini na huzichukua kama source ya habari na kuamini, hiko ndio nilimaamisha labda kama hujaelewa.

Pia nimekuuliza huyo Molina kaandika kipin kipya ambacho hakijaandikwa, naomba unieleze
 
Back
Top Bottom