Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,540
- 61,991
Unaona sasa 1-1Choyo yake faida kwetu
Unaona sasa 1-1Choyo yake faida kwetu
🔥🔥ShesRise_1 unaizungumziaje ngoma ya norway
Jamaa mwili mkubwa akili hana kabisa.Alexander Soloth 🚮🚮
UpuuziWalete katiiiii
Amezingua sanaJamaa mwili mkubwa akili hana kabisa.
#Hallelujah!!!
Alikurupuka kupiga. Gordon na Madueke wake wanashindwa kazi wamesaidiwa na Jude, kapteni leo hapewi mipira.Rice leo ana kona za ovyo
I'm out sina upande mie leoChuma tamu kweli kweli