Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,380
Sijafurahishwa na kitendo cha goli la Norway kufungwa na asiyekuwa Haaland
Hachukulii vitu kwa expression ya furaha kupitiliza. Ila haimaanishi ni chuki.Halland hafurahii wenzie wakifunga
Bosi nimeweka video YouTube, nimeweka mega thread yake Reddit kasome, vimeandikwa vyote unavyouliza.Wewe sasa ndio kilaza, yupo banned kivipi. Taarifa nyingi zake watu huamini na huzichukua kama source ya habari na kuamini, hiko ndio nilimaamisha labda kama hujaelewa.
Pia nimekuuliza huyo Molina kaandika kipin kipya ambacho hakijaandikwa, naomba unieleze
Mbona swali rahisi? Kwa Nini usiseme hapa kwenye hii scandal kaandika jambo gani ambalo halijawahi kuandikwa?Bosi nimeweka video YouTube, nimeweka mega thread yake Reddit kasome, vimeandikwa vyote unavyouliza.
Pia Fabrizio anawashika masikio Nyie msiojua ulimwengu wa Mpira, jamaa ni Fraud na anacopy KAZI za wenzake, nenda Sub za Utd, Liverpool etc ukipost source ya Fabrizio wanakula kichwa, he is that bad.
Vyombo vya habari na waandishi wakubwa wanamlalamikia Sana kwa kucopy KAZI za watu na ushahidi upo. Kama unaijua internet karibuni utamuona wa maana ila wakongwe wanajua ni Tapeli Tu.
Sawa isije kuleta lawamq kocha sio wa argentina ana asili ya portugalBado mapema sana mkuu
Kona goli hapoShesRise_1 unaizungumziaje ngoma ya norway