Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,326
- 7,369
Muishukuru tu FIFAUnafaa sana kuuguza mgonjwa,unatoa matumaini hata pasipokua na matumaini.
Vamos ARGENTINA.
Muishukuru tu FIFAUnafaa sana kuuguza mgonjwa,unatoa matumaini hata pasipokua na matumaini.
Vamos ARGENTINA.
KabisaaSio bure😂
View attachment 3624504
Sasa unataka tukusaidie nini?Wala mimi sio CR7 team, mimi na waarabu Egypt na morocco hakuna la kuishauri.
Ndo maana nimeumia
The Icebreaker
🤣🤣🤣🤣Sio bure😂
View attachment 3624504
Mkijua kuitumia...VAR inaharibu mchezo. IFUTWE!
VAR ifutwe!
Pole sana ustaz wangu, VUMILIADaaah! Nimeumia sana moyo na roho leo nitalala na huzuni sana 😭
Kauli ya mwisho ya marehemu kabla ya kukata roho.Muishukuru tu FIFA
😁😁😁bado hujasemaMo Salah alikuwa anasikiaga tu kuwa ArgentFIFA ila hakuwahi kushuhudia.
Leo yalivyomkuta amebaki kucheka tuView attachment 3624498
Hawana kiwango kizuri wanashinda kwa bahati sana ngoja uone huko mbeleni watakavyotoka kwa aibuUnafaa sana kuuguza mgonjwa,unatoa matumaini hata pasipokua na matumaini.
Vamos ARGENTINA.
Kuhuzunika na kulia tuSasa unataka tukusaidie nini?
Pole mkuu😂Kuhuzunika na kulia tu
Huwezi kubahatisha huku ukiwa umelala usingizi,Hawana kiwango kizuri wanashinda kwa bahati sana ngoja uone huko mbeleni watakavyotoka kwa aibu
Haiwezi kamwe haiwezi kamwe hata kama leo wananilaza na huzuni moyoni in short Argentina siyo timu bora inashinda kwa kusua sua tuUsishangae ikachukua ubingwa 'back to back'...😃😃😃
Kushangilia timu za Afrika ni umajinuni tu.Nyani kama nyani
Habari mkuu upo na hali gani?Hahahahhahahaaahahahhahaha kumamamamammaamakeeeewww