che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 658
- 1,085
Huko Portugal Nina washabikia Ronaldo na Mourinho,kwa kuwa cr7 katoka nasubiria Mou aichukukue timu ndio nirudi tenaNimeisapoti Portugal kwasababu ya Ronaldo.
And now he's gone that means my support also will gone.
View attachment 3624034
Nimefurahi sana mkuu
Muda utajibu...Mkuu unahisi Morocco ataifunga France?
We jamaa huwapendi hawa Waarabu kwanini?..Hapa akitoka na Morocco daah magoli sana
Hapa akitoka na Morocco daah magoli sana
Kwahiyo mashabiki wa yule Mbuzi watahamia kuishabikia Misri?
Au bado wanajitafakari?
Bora walivyobondwa Tena kipigo Cha mbwa Koko ππBelgium = 3
Us = 1
Maumivu yote ni kwa Trump. Je, atatumia missile kuiangamiza Belgium?
Leo hii mmebadilika πππWC si kipimo cha mchezaji kuwa GOAT! bali mafanikio binafsi ya mchezaji na mchango wake katika football vinamfanya awe GOAT, CR7 anastahili kuwa GOAT hata kama hajachukua WC.
πππ Lazima wafanye hivyoKwahiyo mashabiki wa yule Mbuzi watahamia kuishabikia Misri?
Au bado wanajitafakari?
Lukaku ndiye aliye pigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Marehemu.View attachment 3624077
For the records...
Ukitaka kujua umuhimu wa WC kwa CR7 angalia alivyokua analia baada ya kutolewa.Leo hii mmebadilika πππ
Wakati Messi Hana WC mlikuwa mnasema Messi Hana hadhi ya kuwa Goat , mwanaume akapambana mpaka wakatwaa WC but Leo hii baada ya kuona cr7 kafeli kupata WC now mmekuja na hivi visingizio Binaadamu bhana π