Giovanni Mugillanetza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 948
- 1,969
Watachoka hw watoto .Timu iliyopewa nafasi ya kwanza kwenye uwezekano wa kuchukua ubingwa ndio hii inaruka ruka tu.
Tunawapasua tu
Watachoka hw watoto .Timu iliyopewa nafasi ya kwanza kwenye uwezekano wa kuchukua ubingwa ndio hii inaruka ruka tu.
Huyo ndio anaewakwamishaTulia ww
Ronaldo anafanya mazoezi anaweza kucheza hadi masaa mawili bila kupumzika.😂😂 Ronaldo anafanya nin? Na hawamtoi
Hawa wareno NI kama wamatumbi Wa ghanaHuyo ndio anaewakwamisha
Yaah sure kabisaMakosa makubwa Dela Fuente anayafanya. Baena ndio alipaswa kwenda nje. Pedri alikuwa ndio akicontral tempo ya game.