Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Kombe la Dunia sio tende kwamba kila mwarabu atakula.. ngamia pori gudubai
#Hallelujah!!!
Kombe la Dunia sio tende kwamba kila mwarabu atakula.. ngamia pori gudubai
#Hallelujah!!!
Ila US nao huwaga wanakazaga japo mwishoni wanaachia, ila ni wabishi hawa sizani kama leo itakuwa kinyonge mbele ya ubeligiji.Kati ya timu ambayo inatakiwa itolewe mashindano yafanyike kwa amani ni hao Marekani
Mm sio shabiki wa Messi mm napenda footballWewe ni shabiki wa Messi mwanzo ulikuwa umejificha kwenye uanamichezo ile ilikuwa ni blanda na nilikustukia.
Huu ni usnitch, namna nilivyoku confront wewe ndio namna ile ile ambayo Ronaldo kam confront huyo snitch journalist ambaye alijificha kwenye mwamvuli wa media.
Utofauti wako na yeye ni kwamba, wewe umetumia kichaka cha uanamichezo kuficha mapenzi yako kwa Messi wakati yeye katumia media kuficha mapenzi yake kwa Messi.
it's okay kuwa shabiki wa Messi ila kujificha nyuma ya kivuli cha uanamichezo ili uwe unashambulia kwa kinga ya kuto rudishiwa kwasababu huja declare hiyo tunaita ni hypocrisy.
Kumbe lengo sio kubeba kombe ni kuacha vimelea??😂😂😂😂Sawa sisi tunaondoka lakini kumbuka tumeacha vimelea
Mi sio mchambuzi mimi ni shabiki na nilijipambanua tangu mwanzo.Ndugu mchambuzi mbona kinyonge sana🤣🤣🤣
Team Ronaldo
Mimi huwa simshanbulii.Wewe pia si huwa unamshambulia Messi au umesahau
Toka kwenye uzi wetuMi sio mchambuzi mimi ni shabiki na nilijipambanua tangu mwanzo.
Hao wajuu hao ndio wachambuzi ila wote wanamchambua mtu mmoja tu.
Hii ndio nikiyoisema mwanzo.
Akishinda Messi, mjadala unakuwa ni Ronaldo. Akifunga Lamine Yamal, mjadala unakuwq ni Ronaldo.
Akisipofunga Ronaldo, mjadala unakuwa ni Ronaldo. Akifunga Ronaldo mjadala unakuwa Ronaldo.
Na timu anayochezea Ronaldo ikifungwa, ikifunga mjadala ni Ronaldo.
Kama kauli yangu ni uongo jaribu kufuatilia wachambuzi wetu wa kina Suma Mnazaleti wa JF.
Ok pole mkuu yameisha huu sio mwisho wa maisha japokuwa ndo basi tena hawezi kuchukua world cupMimi huwa simshanbulii.
Huwa namuelezea jinsi alivyo.
Sasa Israel imetokea wapi hapa?Huwezi kusikia Scars akisema kitu kuhusu hilo tukio coz halijatokea kwa messi. Ila ni jambo la ajabu kuwaji kufanyika. Scars itakua ni shabiki wa Israel maana ndio dunia inawanafikiaga. Akipigwa dunia inasimama akipiga watu hawamsemi.
#Upumbavu mtupu
Alisha declare kwenye interview yake.Ok pole mkuu yameisha huu sio mwisho wa maisha japokuwa ndo basi tena hawezi kuchukua world cup
Ronaldo usikubali kustaafu kabla hajachukua WC miaka minne ijayo utakuwa na umri wa miaka 45, bado umri unaruhusu kabisa😂😂
Pambana mpaka uvae medali kama Messi