Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,346
Babu anakomaa. Anajaribu labda anaweza kubeba kombe mwaka huu astaafu kwa heshima.Eeeh anaweza kabisa huyo babu ananizaa hadi mimi
Babu anakomaa. Anajaribu labda anaweza kubeba kombe mwaka huu astaafu kwa heshima.Eeeh anaweza kabisa huyo babu ananizaa hadi mimi
Kapiga vizuri ila Ronaldo wa zamani pale anamchukua yule beki na kumsogelea zaidi kipaSafi sana Ronaldo
Na leo ni kama ana focus 😅Babu anakomaa. Anajaribu labda anaweza kubeba kombe mwaka huu astaafu kwa heshima.
Ronaldo akifanya jambo zuri ambalo linawa prove wrong kuhusu ubora wake, mnamfananisha na "Ronaldo wa zamani"Kapiga vizuri ila Ronaldo wa zamani pale anamchukua yule beki na kumsogelea zaidi kipa
Unaangalia kupitia TBC 🤣🤣TBC wanazingua mitambo au mtangazaji , maana utangazaji fyongo alikuwa anatangaza tofauti na matukio yanayoendelea
Spain walitakiwa kuitumia hiyo opportunity kufunga.Portugal wanapiga pasi za karibu karibu sizipendi. Hawatengenezi positions wakiwa na mpira, mwenye mpira anampa aliye karibu yake sio aliye position nzuri. Mkakati mbovu huu hauna malengo na mnaweza piga pasi nyingi bila kushambulia na hata ni vigumu kumiliki mpira kwa hivi.
Subiri kwanza tuone kama leo babu anatupia right?Napata shida sana na ushabiki wenu jana Mlimuona Halaand alivokuwa anacheza?
Nipo kwa shemeji kagoma kulipia kinga'muzi napita na TBC tu , nimewakimbiza watoto sebuleni walikuwa wanacheki movie kwenye flash nikatumia udikteta kama Mbappe , bando langu nahifadhi kwa ajili ya kuStream mechi za night Kali nikiwa chumbani kwangu.Unaangalia kupitia TBC 🤣🤣
Kesho kaandamane tu uwe front