Labda kama wataruhusu kucheza na mikongojoRonaldo mbishi Sana anaweza kucheza world cup ijayo, mpaka ahakikishe amebeba kombe 😂😂😂😂😂😂
Hii Spain inaweza kufanana na ile iliyochukua WC S/Africa 2010..Mamaeh kazi ya kitume sana Spain
Bravo🔥🔥🔥
Ile ilikuwa team nzuri naa bora sana. Hii ninya kawaida hawafungi sana magoliHii Spain inaweza kufanana na ile iliyochukua WC S/Africa 2010..
SiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuThe real GOAT View attachment 3623972
Retiring Weak...The end of the great era, thank you Cristiano Ronaldo View attachment 3623975
Kwa namna wanavyocheza ni kama ile tu.Hii Spain inaweza kufanana na ile iliyochukua WC S/Africa 2010..
Wanashabikia mzeee weeehPro Mbuzi ama!!
Huruma sio malezi..Nimesikia uchungu kwa ajili ya Ronaldo..
Ila nilitamani tu Spain ishinde..hakuna namna
Ukome kushabikia wazee. Poleee bibieNimesikia uchungu kwa ajili ya Ronaldo..
Ila nilitamani tu Spain ishinde..hakuna namna