Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
The adidas Trionda match ball that will be used for the World Cup final on July 19 has been unveiled ✨
Una uchungu sana Cristiano mambo hayamuendei vizuri. Ana wa disappoint sana wanazi wake.
Colombia hatoniangusha lazima amdondoshe ArgentinaThe adidas Trionda match ball that will be used for the World Cup final on July 19 has been unveiled ✨View attachment 3623884View attachment 3623885
Kashafanya vya kutosha.Una uchungu sana Cristiano mambo hayamuendei vizuri. Ana wa disappoint sana wanazi wake.
Yani Spain atolewe na ureno? Labda kwa bahati lakin sio kiwango, Leo ureno anatandikwaWakuu naombeni sana mniombee siku ya leo, sijui nitakua na hali gani Spain akitoka. The night is long and full of terror
View attachment 3623912
Hao jamaa natamani watoke mapema iwezekanavyoYani Spain atolewe na ureno? Labda kwa bahati lakin sio kiwango, Leo ureno anatandikwa
Leo ndio mwisho wa urenoHao jamaa natamani watoke mapema iwezekanavyo
Mkuu natamani sana Portugal amtoe spain, lakini kama unavojua mambo ya mpira lolote linaweza tokeaPochugoo tunakufa na goti wetu
Wewe ni shabiki wa Messi mwanzo ulikuwa umejificha kwenye uanamichezo ile ilikuwa ni blanda na nilikustukia.Ila sikujua km Ronaldo ni childish ivi
Chrstiano Ronaldo:we mwandishi unaenichukia uliza swali najua hunipendi hata macho yako yanaonyesha😁😁