Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Morocco atafungwa na France..
Hakuna chuki.
Kwahiyo angekua senegal na ufaransa ungeshabikia senegal 😄 ila waarabu hapana, wazungu ni walijua kuaingiza mkenge.....Huo ndio ukweli. Kama unashabikia Morocco basi jia dae kisaikolojia.
Mimi ni Argentina dam dam, Morocco na Spain
Najua wapo ambao watashabikia ufaransa kisa kuna weusi, Morocco ni waarabu pia ni waislamu so sioni ajabu kwa upande wa pili japo sio wote+baadhi ya waislamu wakishabikia ufaransa kisa weusi 😄
Morocco forever