Hakuna sehemu nimesema nilitaka wasitolewe.
Toka hili kombe limeanza hakuna mtu in their right mind aliwapa Brazil nafasi ya kubeba ndoo wala kufika semis. Wala Germany.
On the flip side, wamewahi kuwa a powerhouse na wana infrastructures zote za kufanya vizuri, kwanini wanashindwa? France is a threat miaka yote kwanini wao wameweza ku maintain kiwango chao? Spain too. Mpira umebadilika kwa Germany na Brazil tu ila sio kwa France na Spain?
Kama nchi zingine zinafanya vizuri wao kinawashinda nini kufanya vizuri? Kutolewa kwenye michuano is one thing, ila jinsi walivyotolewa na viwango vyao haviridhishi hata kidogo.
Hili kombe ni la France labda wapoteze wenyewe.