2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwanza nimepitia takwimu Messi hana assist.

Kumbe ile cross aliyopiga kwenye freekick iliyozaa goli ilivyomkuta Cristiano Romero ikaenda ku deflect kwa Disney mchezaji wa Cape Verde.

Kwa hiyo Messi hana assist mpaka sasa kwasababu hilo goli ni own goal.
 
Mbappe alikuwa anamtazam mwanae Vini Jr
IMG_0772.jpeg
 
Hata Brazil leo wamekosa nafasi nyingi za wazi
Brasil wa siku hizi wengi wao ni social media influencers kuliko wacheza mpira.

Ile Brasil ya akina Romario, Bebeto, Rivaldo, Cafu, Jorginho, Ricardo Rocha, Dunga, Claudio Tafarel, Branco, Aldair, Márcio Santos, Zinho, Mazinho, Paulo Sergio, na wengineo…..

Ile Brazil ilikuwa ukiwapa mwanya tu imekula kwako.

Na ndo maana walicheza kwenye fainali kwa mara tatu mfulilizo, 1994, 1998, na 2002 na wakashinda kombe mara mbili kati ya hizo tatu.

Hawa ma influencers wa siku hizi kazi yao kujichora ma tattoo na kutoboa pua na masikio.
 
Norway has removed ONE threat for Argentina.

WHAT A SCRIPT!
Brazil wamekuwa mdebwedo mbele ya Argentina miaka ya hivi karibuni, mwanaume Colombia wanapiga mpira ukiwazingua vinatembea vitu.Messi fainal Copa America 24/25 dk za mwanzo kipindi cha kwanza wakamkanyaga kifundo akatolewa. Baada ya hapo ilikuwa mwendo wa kutembeza viatu mwanzo mwisho mechi ilienda mpaka dk 120 ndipo Lautaro akatupia.Tena yule mwamba aliye mkanyaka Messi alikuwa anawindwa ilikuwa kama vita.
 
Brasil wa siku hizi wengi ni social media influencers.

Ile Brasil ya akina Romario, Bebeto, Rivaldo, Cafu, Jorginho, Ricardo Rocha, Dunga, Claudio Tafarel, Branco, Aldair, Márcio Santos, Zinho, Mazinho, Paulo Sergio, na wengineo…..

Ile Brazil ilikuwa ukiwapa mwanya tu imekula kwako.

Na ndo maana walicheza kwenye fainali kwa mara tatu mfulilizo, 1994, 1998, na 2002 na wakashinda kombe mara mbili kati ya hizo tatu.

Hawa ma influencers wa siku hizi kazi yao kujichora ma tattoo na kutoboa pua na masikio.
Vijana wanakuja kushindana magoli na Waze kama kina Messi na Ronaldo..
Bora hata hao kina Mbape,Halland..wanatuonesha vitu flani.
 
Brazil wamekuwa mdebwedo mbele ya Argentina miaka ya hivi karibuni, mwanaume Colombia wanapiga mpira ukiwazingua vinatembea vitu.Messi fainal Copa America 24/25 dk za mwanzo kipindi cha kwanza wakamkanya kifundo. Baada ya hapo ilikuwa mwendo wa kutembeza viatu mwanzo mwisho mechi ilienda mpaka dk 120 ndipo Lautaro akatupia.
Colombia inanikumbusha Chile miakaa flani hapa katikati walikuwa wanapiga boli na uhuni wanajua

Akina Arturo Vidal na wenzake akina Vargas acha kabisa

Walimfanya Messi astaafu team ya taifa kabla ya kuamua kurudi tena kuwatumikia Argentina.
 
Brazil wamekuwa mdebwedo mbele ya Argentina miaka ya hivi karibuni, mwanaume Colombia wanapiga mpira ukiwazingua vinatembea vitu.Messi fainal Copa America 24/25 dk za mwanzo kipindi cha kwanza wakamkanya kifundo. Baada ya hapo ilikuwa mwendo wa kutembeza viatu mwanzo mwisho mechi ilienda mpaka dk 120 ndipo Lautaro akatupia.Tena yule mwamba aliye mkanyaka Messi alikuwa anawindwa ilikuwa kama vita.
Yo, Colombia wako vizuri aisee. Wanatishia amani ya kila timu iliyobaki.
 
Brazil hamna kazi hata ya zamani pia sikuwahi kushabikia ila ilikua Ina watu kweli kweli!
Baadhi ya wachezaji wa brazil kama robinho, adriano tulikuja kuwajulia world cup na walikua wa motto haswa na wanatupa ladha ya kutosha.
Saivi Brazil wapo kina endrick kumtoka hata mtu mmoja hawawezi
 
Davide Ancelotti: “It was decided before the game that Bruno Guimarães should take the penalty”.

“To miss a penalty can happen in football… today, it happened”.
 
Back
Top Bottom