2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

🇵🇹 Portugal vs Spain: Wewe Unampa Nani Nafasi ya Kufuzu?

Leo tuna mchezo mkubwa sana wa Kombe la Dunia kati ya Portugal 🇵🇹 na Spain 🇪🇸.

Watu wengi wanaamini Spain ndiye favorit kutokana na kiwango walichoonyesha, lakini Portugal pia wana kikosi chenye uwezo wa kushinda mechi kubwa.

Mimi prediction yangu ni: 🇵🇹 Portugal To Qualify.

Sababu zangu ni:

✅ Uzoefu mkubwa kwenye mechi za mtoano.

✅ Wachezaji wenye uwezo wa kuamua mechi kwa muda mfupi.

✅ Portugal wameonyesha uimara wanapokuwa chini ya presha.

Lakini mpira hauna mwenyewe…

Wewe unafikiri nani atafuzu?

🇵🇹 Portugal

au

🇪🇸 Spain

Na kwa nini?

👇 Tujadili.
Kwa anayependa kusoma uchambuzi wa kina, nimeandika analysis kamili pamoja na prediction kwenye blog yangu:

👉 KANGAROO
Kwangu hapa yeyote tu apite.
No worries
 
1783319901552.png
 
Anceloti hana mbinu kwa mpira wa sasa amini nakuambia.
Kocha mzuriii zamani ndio lakini kwa sasa hivi hapana huyu afanye kustafu tu.
Ferguson mwenyewe aliusoma mchezo akaona kuilinda heshima ngoja nisepe maana pep alimtetemesha Ile final.
Ile barca inamstaafisha kocha yoyote hatari xavi iniesta villa balaaaa
 
Mechi ya kisasi kwa Spain katika kipindi ambacho Portugal hawana performance ya kuridhisha.

Kwanza Game ya leo itakuwa ni battle ya Lamine Yamal dhidi ya Nuno Mendez.

Sijui leo Portugal watakuja na performance ya aina gani maana wamekuwa na performance mbovu karibia mechi zote ukitoa ile Uzbekistan ambayo ni kibonde.

Kingine kinachowagharimu Portugal ni kukosa unity, mechi ya leo itahitaji zaidi mtu aliyekuwa kwenye nafasi ya kufunga afunge na sio kulazimisha ili wewe ndio uibuke shujaa.

Portugal ikicheza kitimu leo nina uhakika mechi wanashinda.
 
Na Ronaldo asianze.
Aanzie nje ili kupunguza pressure ya mchezo
 
Back
Top Bottom