ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,015
- 46,897
Watu wanakaa mbali kisemvule huko
Dakika zimezidirefarii simuelewiii
Kama Ramadhan KayokoDakika zimezidi
Ancilot sidhani kama atadindisha tena baada ya hapatangu lini brazil ikawa na kocha sio mbrazil
Watafute kocha mBrazil anaefundisha soka la kisasa sio huyu babu wa kizamantangu lini brazil ikawa na kocha sio mbrazil
Hiyo muhimuMashabiki hatuondoki hadi ngoma ipigwe kwanza
ni kama masikini anamwambia baresa nina uwezo wa kununua kila aina ya bidhaa zako madukaniKipa wa Norway kazoea vibudu, Neymar kamwambia sawa kaaa pale daka na hii tuone, kamtundika halafu kwamwambia dogo ACHA MDOMO