Njoo kwa Neymar sasaLimefunga likageuka likaanza kutembea kidharau
Kumpata messi mwingine ni kitu ambacho kitakua kigumu sana mkuu. Hawa kina halland na mbappe na wengine hawawezi kufika 32 nakuendelea kufanya kile ambacho Messi anafanya kwenye 37Ht ye hana muda mrefu sn
Wawatengeneze kina messi wengine
Si unaona kilichotokea Brazil leo
Enheee umeona sasa….Na bado alikosa moja ya wazi
Neymar aliweka battle na goalkeeper wa NorwayNjoo kwa Neymar sasa
Messi naye hana goli la penalti.So far ndio mfungaji mzuri sasa.
Mbape na Messi kila mmoja anagoli la tuta hapo
Hata Messi pia hana la tutaSo far ndio mfungaji mzuri sasa.
Mbape na Messi kila mmoja anagoli la tuta hapo
Ngoja tuone namna Mekiko watakavyodili naoPalmer na Foden pia waliachwa kwa makosa
Mashabiki wa Messi wanaumia vipi hapo ? Messi kashamaliza Kila kitu hii ni kama anawapa bonus tu mashabiki zake.hii inawachoma sana mashabiki wa messi,
walijiamulia kila kitu wenyewe
Unapiga ramliKumpata messi mwingine ni kitu ambacho kitakua kigumu sana mkuu. Hawa kina halland na mbappe na wengine hawawezi kufika 32 nakuendelea kufanya kile ambacho Messi anafanya kwenye 37
Sijui kama alitegemea kilichotokeaAlifurahi sana