joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,389
- 41,503
Nimewatizama wale Mexico na lile pira lao la kasi,Muingereza anakazi ya kufanya na ukizingatia wapo nyumbani.Arudi tuu kwaninshida iko wapi....
Nimewatizama wale Mexico na lile pira lao la kasi,Muingereza anakazi ya kufanya na ukizingatia wapo nyumbani.Arudi tuu kwaninshida iko wapi....
Hao wote anauwezo wa kuwapigaEngland au Mexico
Neymar namchukulia ni mmoja wa wachezaji wasiokua na bahati kabisa , namkumbuka Neymar wa mwaka 2014 huko kuna game Brazil alicheza na Spain intercontinental sijui Ile.Neymar emotions
View attachment 3623532
Binti mdomooo utumie kula tuWa Norway wote tumefurahi na dunia nzima kasoro wakamaria tu
Wakicheza na ule moto waliocheza nao dhidi ya ecuador...harry kane anaaga mashindanoNimewatizama wale Mexico na lile pira lao la kasi,Muingereza anakazi ya kufanya na ukizingatia wapo nyumbani.
Haaland yupo vizuri.. kiukweli ameibeba sana team yake ya taifa..Kudadeki huyu Haaland ni hatari sana aiseee, what a striker, unfortunately kwa Brazil hawana striker kabisa, brazil kwishnei tukutane tena 2030
hii inawachoma sana mashabiki wa messi,This is the first time in World Cup history that three different players have scored 7+ goals in a single edition of the tournament
🇫🇷 Kylian Mbappé: 7 goals
🇦🇷 Lionel Messi: 7 goals
🇳🇴 Erling Haaland: 7 goals
Lakini mbali na Haaland kutumia nafasi vizuri ila pia kipa wa Norway leo kafanya kazi kubwa sana.Neymar namchukulia ni mmoja wa wachezaji wasiokua na bahati kabisa , namkumbuka Neymar wa mwaka 2014 huko kuna game Brazil alicheza na Spain intercontinental sijui Ile.
Acha alie tu maana ndio world cup ya mwisho hio na hakuna amefanya majeruhi mengi
Wafungaji bora wawili kwa sasa na Father mmojaThis is the first time in World Cup history that three different players have scored 7+ goals in a single edition of the tournament
🇫🇷 Kylian Mbappé: 7 goals
🇦🇷 Lionel Messi: 7 goals
🇳🇴 Erling Haaland: 7 goals
Morocco wapo vizurrii kupigwa na france anaweza ila sio kiivo unavyodhani.Mimi nasubiri tu Morocco apigwe na France za kutosha...
hii inawachoma sana mashabiki wa messi,
walijiamulia kila kitu wenyewe
Sema Messi ni Messi tu yaani zama za madogo janja kina mbappe na halland lakini yeye Bado yupo tu!! Bado tu anakimbizana nao pamoja na yote aliyoyafanya kwenye mpira.Wafungaji bora wawili kwa sasa na Father mmoja
Sio ile ya kina RonaldinhoNorway wametisha Sana.
Brazil wajifanyie tathmini ya Kina Sana, Wafumue soka lao kivingine Aisee,
Hata wao hawaaamini kama wametoka, wanaliza tu watoto kule Jukwaani.
Hii Sio ile Brazil Brazil.