2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hamna kocha ebu wee acha utani don carlo kocha mzuri kabisa acha tuu brazil hamna timu. Kasema yeye mwenyewe kocha zaidi yake ni Ferguson tuuu🤣🤣🤣🤣
Anceloti hana mbinu kwa mpira wa sasa amini nakuambia.
Kocha mzuriii zamani ndio lakini kwa sasa hivi hapana huyu afanye kustafu tu.
Ferguson mwenyewe aliusoma mchezo akaona kuilinda heshima ngoja nisepe maana pep alimtetemesha Ile final.
 
Back
Top Bottom