Ulidhani wana utofauti?Ghana ni kama waafrika wengine.
Alitabiri kqa argentina tu bwashee ila chama lake alilisalitiYale mtabiri wa Ghana ni muongo sana.
Argentina amemtoa Cape Verde au sio?Alitabiri kqa argentina tu bwashee ila chama lake alilisaliti
Ni wakati argentina pia hatohusahau katika ulimwengu wa soka hasa kukutana na underdog ikamraruaArgentina amemtoa Cape Verde au sio?
Tatizo consistency mkuu unakumbuka drama za Ghana johberberg kwa Mandela🤣Nawaombea CV wafuzu WC 2030. Kama kuanza wameanza hivi, natumaini watakuja na uzoefu. Na madogo hawa watanunuliwa sana Ulaya kwahiyo timu itakuwa ya watu serious zaidi ya sasa.
Egypt ni mwanaHaya Africa tumebaki na Waarabu pekee tusiowapenda 😆 😂
Tutafika tuBongo miaka 1000 hatuwez kufika level hizi walizofika cape Verde