Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Mwaga motooo🔥🔥🔥twende kazi baba tutambe tena mitandaoni
Mwaga motooo🔥🔥🔥twende kazi baba tutambe tena mitandaoni
Hata Cape Verde hawajalalamikaMbona kama alikuwa kazidi?
Achana na kutafuta. Namna wanavyokaba, watatu kwa mmoja.Namna Argentina wakipoteza mpira wanavyoutafuta 🔥🔥
Hii sio Spain mkuuKwa spain ilikua hivihivi kocha alidharau mechi, kikamramba
Huruma yako imepitiliza aisee.Cape Verde wanafungwa goli 3+ hii mechi. Hawashambulii kabisa.
Hakuna offside paleSi wanajua Argentina timu ya Mbeleko?
aaaahhh mbuzi MMMeeeeeeee🐐🐐🐐🐐🦣🦣🦣Huu moto wa Cape Verde uendelee hivi hivi
na mnatamba nayeKipa tunaye...