Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Wanakera wanamsumbua GOAT🤣🤣Unapenda vita mkuu😂😂
Wanakera wanamsumbua GOAT🤣🤣Unapenda vita mkuu😂😂
Hukuona humu kuna watu walijifanya tambi tambi eti mimi sikoseagi nikitabiri Argentina hapiti.. ilihali hata kesho hajui atakula nini?Kuna shida Gani huko?
Ooh! Pole sana!!Me natamani ht nisiangalie huo mpira na hata huu uzi niukimbie kwa muda. Bado nina maumivu sana
Vp mkuu, maono yako yanaendeleaje?Mnawaita watoto wakati wengi wkenye kikosi wana miaka 29 kupanda juu
Mimi mtu akishaleta mambo ya kufikirika kwenye soka huwa naona hayuko siriazHukuona humu kuna watu walijifanya tambi tambi eti mimi sikoseagi nikitabiri Argentina hapiti.. ilihali hata kesho hajui atakula nini?
#Hallelujah!!!
Sauti iko chini mkuuMessi anawanyoosha sana na jeshi lake, mnakesha kutupigia makofi shuwayni.
#Hallelujah!!!
Wafuasi wa ngamia wanatapata, tuliwapa matumaini hewa na vile furaha zao huwa hazidumu kama puto kwenye majani.Sauti iko chini mkuu
Hii iliumiza wengi, sijawahi msahau Asamoah Gyan 😁🥲Hawa Ghana 2010 walinifanya niache kuangalia Mpira kwa miaka 2..walinipa Maumivu sana..sanaa..
We ulimwamini? 😂😂Ila mganga ni tapeli sana
Wafuasi wa ngamia wanatapata, tuliwapa matumaini hewa na vile furaha zao huwa hazidumu kama puto kwenye majani.
#Hallelujah!!!
NilimpuuzaWe ulimwamini? 😂😂