ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,646
- 4,245
Mkuu hii game mbona haja Assist.?🚨🚨 OFFICIAL NEW RECORD: Lionel Messi is now the TOP ASSISTER in World Cup history!
He overtakes Diego Maradona with Messi now having 9 assists!
Mkuu hii game mbona haja Assist.?🚨🚨 OFFICIAL NEW RECORD: Lionel Messi is now the TOP ASSISTER in World Cup history!
He overtakes Diego Maradona with Messi now having 9 assists!
Kwa taarifa yako tu kwenye Mashindano ya mwaka huu Messi hana Assist hata moja mpaka sasa.🚨🚨 OFFICIAL NEW RECORD: Lionel Messi is now the TOP ASSISTER in World Cup history!
He overtakes Diego Maradona with Messi now having 9 assists!
Ilikuwa leo awe na assist ya 9 kanuni za FIFA zimeiondoaKwa taarifa yako tu kwenye Mashindano ya mwaka huu Messi hana Assist hata moja mpaka sasa.
Tayari kashakaa hukoHii iliumiza wengi, sijawahi msahau Asamoah Gyan 😁🥲
Wacha leo tuone ⚽️⚽️😋😋
😀 ajichanganye na maono yake uchwara.Ungekuwa unabet ungekula hela nyingi sana🚮
Usijichanganye mkuu utalia sio rahisi hivyo.Serious I wish too. Ila Value zangu haziniruhusu kushiriki kamali
😀😀 tambi tambi uchwara uchwara.Hukuona humu kuna watu walijifanya tambi tambi eti mimi sikoseagi nikitabiri Argentina hapiti.. ilihali hata kesho hajui atakula nini?
#Hallelujah!!!
Wafuasi wa mbuzi hawataki kuona mtu mfupi aliendelea kutupia na timu yake kusogelea tajiAnafungwa Cape Verde ila maumivu yanaenda kwa wafuasi wa yule Mbuzi.