Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,164
- 8,957
Nami hii nimeipenda, baada ya hii mechi Argentina wataongeza umakini sana watakapo kutana na team nyingine.Cape Verde wametupa mechi nzuri na kutukumbusha tusibweteke
Ni kama tulivyokumbushwa na Saudi Arabia WC ya 2022 pale Qatar
Messi š na wadogo zake wamejua kuturusha roho leo