joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Spain wanafanya matusi ya mpira.
Najua.
Katoka academy yao...Barcelona wanakuaga wapi kusajili mtu kama cucurella
Bench warmerKatoka academy yao...
Nimeinjoi sana aisee hii mechi. Mtu hugusi mali