joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,386
- 41,494
Sasa wewe unashimdwa kukielewa hata kila unacho kianzisha na sizani utanielewa na sihitaji unielewa.Capacity yako ya kuelewa ni ndogo.
Hata uandishi wako tu ni changamoto.
Sasa wewe unashimdwa kukielewa hata kila unacho kianzisha na sizani utanielewa na sihitaji unielewa.Capacity yako ya kuelewa ni ndogo.
Hata uandishi wako tu ni changamoto.
Pole sana kama unapoteza muda wako kubishana na Scars kabla ya kuanza kubishana ungetuuliza kwanza.Sasa wewe unashimdwa kukielewa hata kila unacho kianzisha na sizani utanielewa na sihitaji unielewa.
Daah! Pole sana.Shida yangu napenda kua attached sana na kitu ninachokipenda. Hua sifeki kupenda kitu, nikipenda nakipenda fully and whole.
Kifo cha huyu bwana mdogo hapo chini kilinifanya nitumie dozi. Niliumwa kabisa kama nimefiwa na mtu wa karibu kumbe ni Fictional character na ni kifo cha kwenye Series tu.
Tatizo ni mimi kua attached.
[Glenn Rhee from Walking Dead]
View attachment 3621454
Rejea post yangu uliyo quote, kisha soma tena hiki ulichokiandika halafu unipe sababu kwanini nisi-doubt uelewa wako.Sasa wewe unashimdwa kukielewa hata kila unacho kianzisha na sizani utanielewa na sihitaji unielewa.
Ahsante sana mkuuDaah! Pole sana.
Au sio, na saa saba Cape Verde aanashindaEgypt anafuzu leo
Achana na yule mganga.Au sio, na saa saba Cape Verde aanashinda
Cape Verde leo....😂😂😂😂
Ikitokea mmefungwa itabidi nichukue likizo fupi kufurahia huo ushindiCape Verde leo....😂😂😂😂
View attachment 3621490
Ndio maana nikakwambia ukiwa wewe mwenyewe huelewi, unavyo vianzisha mimi ndio utanielewa, ndio maana sihitaji unielewe.Rejea post yangu uliyo quote, kisha soma tena hiki ulichokiandika halafu unipe sababu kwanini nisi-doubt uelewa wako.
Kabla ya Hilo tukio Kuna mido km sikoa touchmen wa ufaransa alimfanyia madhambi Messi katikat ya uwanja ikapigwa pasi ikamfikia kolo muanOkay twende taratibu.
Nataka hapa tufanye reasoning huku tukirejea baadhi ya sheria za mpira ili tuone kama hoja ya kwamba Argentina alibebwa ina mashiko au la.
Kuna sheria inaitwa "Denying a goal or an obvious goal-scoring opportunity (DOGSO)"
Sheria hii inazungumzia faulo iliyochezwa dhidi ya mpinzani aliyekuwa katika nafasi ya kufunga goli. Sheria hii mara nyingi huwa inapimwa zaidi pale ambapo beki anakuwa ni mtu wa mwisho.
Adhabu ya kosa hili ni kadi nyekundu.
Na reference ya karibu, ni kwenye mechi ya Mexico Vs South Africa.
Sithole anatolewa nje kwa kadi nyekundu.
View attachment 3621421
Sio tukio hilo peke yake lililoamuliwa kwa red card.
Mechi kati ya Iraq na Senegal, mchezaji wa Iraq anayeitwa Rebin Sulaka alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kosa hilo hilo nililoweka kifungu chake hapo juu.
View attachment 3621425
Mechi kati ya Belgium Vs Iran, mchezaji wa ubelgiji Nathan Ngoy alitolewa nje kwa kadi nyekundu.
View attachment 3621429
Sasa kwanini nimekuonesha hizo clips zinazozungumzia faulo moja?
World Cup ya 2022 kwenye final kulikuwa na tukio kama hili.
Hapa ni mchezaji wa Argentina Nicolaus Otamend akimchezea faulo Kolo Muani kwenye penalty box
View attachment 3621432
Unaweza kuangalia hii clip kwa kujiridhisha zaidi
View attachment 3621434
Hiyo ni faulo ambayo iliamuliwa kwa mkwaju wa penati lakini hakuna kadi nyekundu iliyotolewa kwa Otamend licha ya kwamba yeye ndio alikuwa mtu wa mwisho na hakugusa mpira alimgonga Kolo Muani na goti lake.
Argentina wangekuwa down kwa 10 against 11 hii ilikuwa ni advantage wa France na pengine ingeweza kabisa kubadilisha momentum ya mechi.
Hiyo ni incident moja tu, ila zipo nyingi na references zake zipo. Nataka unipe maoni yako wewe unayesema huna mapenzi na timu yeyote ila unapenda mpira kama maamuzi yaliyotolewa hapo yalikuwa ni sahihi kutompa Otamend kadi nyekundu au hayakuwa sahihi.
Imenibidi tu nicheke maana mwanzo nilijua unafanya makusudi.Ndio maana nikakwambia ukiwa wewe mwenyewe huelewi, unavyo vianzisha mimi ndio utanielewa, ndio maana sihitaji unielewe.
View attachment 3621492