2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

FB_IMG_17826030823328985.jpg
 
Ukiwa hujaangalia mechi za waafrika waliotolewa unaweza kudhani Senegal anafanya kitu kipya ambacho wenzake hawakukifanya.
Uliona mbali , Mimi kwa mara ya kwanza sikuwa na vibe ya kutazama mechi za ngozi nyeusi nijalala asubuhi ndio naulizia matokeo naona tumekandwa.

Siangalii tena mechi za wamatumbi labda ichezwe saa 1 au mbili sio niache usingize wangu kisa wamatumbi
 
Back
Top Bottom