🤣🤣Ukiwa hujaangalia mechi za waafrika waliotolewa unaweza kudhani Senegal anafanya kitu kipya ambacho wenzake hawakukifanya.
Wanatoboa Hawa beligium wamechokaNgoja nijitolee leo kulala saa 8 kwa ajili yao,hope hawataniangusha.
Ila cha ajabu hata hawa wataishia kushinda game hii. Sjui Afrika tuna ugonjwa gani wallahBeligium imejichokea bila kunyanyua taji
hazard de brune
Senegal wakaze aisee daaahTimu zote za Afrika mwanzoni utazipenda
Hata England tulisema hivyo hivyo.Wanatoboa Hawa beligium wamechoka
Huu ndo ujingaGuys natamani kushangilia ila naogopa. Hapo wote wanarudi kudefence
Hata wao Senegal wanaombea iwe hivyo.Senegal wakaze aisee daaah
Zinazidiwa na furaha hadi wanajisahau kama mpira dakika 90+Team za Africa zinatangulia kufunga Afu zinakuja kufungwa dakika za mwisho
Hiki kipo sana mkuu,na dalili zimeanza kuonekana hapa daà h.Wajitahidi basi hata hawa wamiliki mpira hata kidogo sio kubutua watu wanawahesabiaHata England tulisema hivyo hivyo.
Ila inavyoonekana ukweli upo kinyume chake.
Inawezekana wazungu wanaamini kwamba timu za Afrika wacha zitawale mchezo kipindi cha kwanza kwa intensity ya juu.
Halafu kipindi cha pili automatically energy itapungua, ile temper walioanza nayo haitokuwepo na ndio hapo wanapoanza kupeleka pipe na kumaliza mchezo.
Huwenda hii ndio mbinu yao maana timu zote za Afrika mwanzoni zilionekana ku control mchezo na kila kitu kwenda vizuri hadi kupata bao la uongozi.
Lakini baada ya dakika 90, kauli ya "haikuwa bahati yetu" unaisikia ikitolewa upande wa timu ya waaafrika.
Mtani hivi ulisema upo na timu gani?