adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Tayari
Mimi ni msenegal pia, njoo mamaaolewa Senegal 🇸🇳 ♥️ Diarra
Wakileta huo ujinga wanapigwa, hii gia wanatakiwa waende nayo mpaka mwishoGuys natamani kushangilia ila naogopa. Hapo wote wanarudi kudefence
Ngoja nifute nilichotaka kuandika, umeniwahHuyu ilmani ndiaye anajua sana aisee
Wachezaji wote walioenda Saudio Arabia wote viwango vimeshuka mwangalie Saidio Mane, Fabinho, Ronaldo, Frank Kessie nkHilo beki lilikuwa la Moto Napoli tu basi itakuwa limedanganya umri lipo 47
Bana naniliuuuuu Belgium wasisawazisheWanaanzaga vzr baadae wanaleta uzwazwa
Italia ya sasa ni jibwa kubwa lisilo na meno. Haling'ati.Ubelgiji hii nafasi kama ingewezena wangemuachia Italy
Ni kweli intensity ya ulaya ni kubwa .Wacheza
Wachezaji wote walioenda Saudio Arabia wote viwango vimeshuka mwangalie Saidio Mane, Fabinho, Ronaldo, Frank Kessie nk