tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Senegal kumfunga Belgium anao uwezo ila sasa waache wenge.Amin Amin
Senegal kumfunga Belgium anao uwezo ila sasa waache wenge.Amin Amin
Hilo beki lilikuwa la Moto Napoli tu basi itakuwa limedanganya umri lipo 47Kocha wa senwgal kashanipa raha kwa kumweka bench coulibally....mwamba hajawa kwenye form this tournament
Wengine hao
Umri bro uyo meshak elia et miaka 27 wakat kidogo Sana n 44Mabeki wamechoka sana. Timu za Afrika ukiwa unabeti wewe weka kuanzia dakika ya 85 zifungwe.
Mmeona O'Reilly kacheza since mechi ianze ila anamzidi Elia aliyeingia kipindi cha pili. Waafrika wana fitness ndogo.