SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,212
- 1,729
Washkaji wanaboa mno😂😂Mkuu umenifanya nimecheka kinyamaa
Washkaji wanaboa mno😂😂Mkuu umenifanya nimecheka kinyamaa
Umeona alivyopiga penalty ya dakika za mwisho za maamuzi bila pressure. Mmatumbi apo angetoa macho, angetetemeka mwili.Anapiga tilemans,anapata KAZI IMEISHAAAA
Hatari sii mchezo kocha sub yake imeleta majangaAfrika ina laana 😂.
Wachezaji wa Kiafrika wakifika dakika ya 85 wanachoka wote. Utawapenda mechi imeanza, ikiwa inaisha wako hoi.
KichekoKiongozi inatosha sasa
Afrika ni huzuni tu,wakati wote kwenye level ya world cupSoka ni mchezo wa furaha na huzuni kwa wakati mmoja.
😁Wazo la gattuso kupunguza timu za Africa sio baya. Lifanyiwe kazi kuliko kujaza matimu yanayogawa utamu tu
Mtangazaji wa azam alimnanga sanaMzee na Makaratasi yake
Sahihi mkuu. Senegal wametuangusha sanaUlisema mapema.mkuu
Yani kipa mwenyewe kaenda kudaka ana wasiwasi balaaaUmeona alivyopiga penalty ya dakika za mwisho za maamuzi bila pressure. Mmatumbi apo angetoa macho, angetetemeka mwili.
Yule Mzee aliona mbali , ujue uzee Ni busara,cha Ajabu alishambuliwa na kuonekana kama mbaguziWazo la gattuso kupunguza timu za Africa sio baya. Lifanyiwe kazi kuliko kujaza matimu yanayogawa utamu tu