Nilitaka asifunge.Wewe ulitaka afanyeje. Maana unashangaa striker kufunga. Mimi sioni ajabu yeyote striker kupewa mpira amebaki na goli then akafunga.
Hawa nao wameshindwa shikilia bomba bwana kha! Goli mbili nda i ya 62 seconds kweliTimu zote za Afrika mwanzoni utazipenda
Akili ya kufika kwenye penalties hawana,yani akili zao ndio zimeisha tayari,sasa hivi wanatumia akili za akiba tu.Wasije tu kutupotezea muda waende mpk kwenye penalties, afungwe Mtu mapema wamalize mpira
Sijakataa kabisa, ila Senegal wajilaumu wenyewe, Ubelgiji hii ni mbovu ni wao na ujinga wao, ile Belgium ni wabovu.Timu za Africa hazina mental capacity to win games. Wao ushindi wao ni kufika WC tu na kusifiwa walipambana.
Wanasema siku zote unapoongea usijimalize , tunza maneno usimalize kila kitu 😂😂😂Si ajabu apa kukuta lukaku anajipa fikra kua wataleta comeback kama england
Huyu dogo camara mie nilimkataa toka mechi ya france kwa kweli ile sub hapana kocha kabugi mennnnWakati mwingine sub zinaaribu game. Sub ya guaye akaingia Camara yale ni makosa ya kocha.
2022 fainal pale Qatar, sub ya di maria ndio iliwapa nguvu france. Na ilikuwa ni makosa ya scolani kocha wa argentina. Lawama mpaka sasa nambebesha kocha
Hapana, hii game Senegal atashinda ila alipaswa kushinda mapema, tena atafunga Mane au huyu aliyeingia..Nicolaus JacksonAkili ya kufika kwenye penalties hawana,yani akili zao ndio zimeisha tayari,sasa hivi wanatumia akili za akiba tu.
Labda ashinde njaa.Hapana, hii game Senegal atashinda ila alipaswa kushinda mapema, tena atafunga Mane au huyu aliyeingia
Kabisa belgium hamna kituSijakataa kabisa, ila Senegal wajilaumu wenyewe, Ubelgiji hii ni mbovu ni wao na ujinga wao, ile Belgium ni wabovu.
Hahaha, tusubiri tuoneLabda ashinde njaa.
😁😁😁Wanasema siku zote unapoongea usijimalize , tunza maneno usimalize kila kitu 😂😂😂
Umeanza lini kumjua CR7 or De Bruyn..?Acheze mpaka alipwe pension. I don't give a ***.