SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,202
- 1,697
Nimetoka kwenye TV ubao ilikua 2:0 nimeenda kufunga geti kurudi nakuta 2:2
Waafrica NI fungu la kukosa kamamake
Waafrica NI fungu la kukosa kamamake
Mkuu kuwa na heshima usilete story za jua kwenye kibatari. KDB na CR7 sio wachezaji wa kuhoji uwepo wao uwanjani ulisaidia nini timu zao, impact yao ilionekana.Umeanza lini kumjua CR7 or De Bruyn..?
Katoa pasi nzuri kwa kenge aliyeingia akarembua nje. Hopeless kabisa hizi timu.Diatta kakichafia sana leo.
KabisaInahitaji uwe na imani kali sana ya dini ndipo uaminj kuwa ulaya na Afrika iliumbwa na Mungu yuleyule. Kuna wakati tunafanya makosa hata nyani hawafanyi.
Hamna ktuKwenye penalty kipa wa ubelgiji kwa uzoefu wake anaweza kuwasaidia sana
Kiongozi inatosha sasaWawekezaji kazi mnayo
Ulisema mapema.mkuuWanaanzaga vzr baadae wanaleta uzwazwa