2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wakati mwingine sub zinaaribu game. Sub ya guaye akaingia Camara yale ni makosa ya kocha.
2022 fainal pale Qatar, sub ya di maria ndio iliwapa nguvu france. Na ilikuwa ni makosa ya scolani kocha wa argentina. Lawama mpaka sasa nambebesha kocha

Wewe unaona sub huoni goli mbili kurudi ni utopolo.
 
Back
Top Bottom