2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Yeye ni striker, sio kipa. Kwahiyo kufunga sio kitu cha ajabu. Angedaka hapo ndio ungekuwa mjadala. Hata Sarr kafunga, Diarra kafunga, Tielemans kafunga.

Ila bado Lukaku kwa sasa sioni kama ni mchezaji tishio akikutana na team zisizo za third world countries.
Ulitaka afanye nini labda Mkuu
 
Huyu Diatta si ndio alitufunga akiwa timu ya vijana. Alipiga bonge la shuti, wabongo wakamsema alivyo mweusi sana. Leo yuko anakichafua WC, sisi vijana wetu akina Kelvin John huwa wanaishia wapi sijui. Timu ya taifa ina Himid Mao tangu nipo shule ya msingi anachezea national team. Hadi leo 😂
Unataka mtu aachwe sababu ameanza kucheza we ukiwa shule...?
 
Hilo beki lilikuwa la Moto Napoli tu basi itakuwa limedanganya umri lipo 47
Ah coulibally wa napoli balaaa ata ile timu ye yewe ilikuwa noma sanaaa.....mertens calejon insigne zielinski hamseck jorginho balaaa huku bwana sarri anavuta fegi yake...ile timu ilikuwa inapiga mpira full burudani. Sarri ball ile sitaisahau
 
Back
Top Bottom