2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mabeki wamechoka sana. Timu za Afrika ukiwa unabeti wewe weka kuanzia dakika ya 85 zifungwe.

Mmeona O'Reilly kacheza since mechi ianze ila anamzidi Elia aliyeingia kipindi cha pili. Waafrika wana fitness ndogo.
Pumzi tatizo
 
Sasa Piston Manywele atakuja kubadili nini? Waingereza sisi haooooooo hatua ya 16 bora dhidi ya Mexico. Wanga nawaonaaa mlivonuna kwa hasira. Hii ndio England baba lao
 
Kane ambaye hawezi kufunga kwasababu ya hali ya hewa ambayo inawa favor waafrika.

Kutana na Kanema kutoka Sokomatola



Replay

 
Heheee si umeona walivyofungwa kizembe…..

Football IQ ya Waafrika ni ndogo sana.

Hapo kwa nini walimwacha Harry Kane peke yake? Huyo inapaswa awe double teamed muda wote.

Wanatolewa leo 😀
Mimi nilivyoona mechi za hatua za makundi nilikata tamaa na timu za ngozi nyeusi kutoka Afrika sababu ni kukosa magoli kipuuzi na mentality ya kudefense hata kama timu unaiweza
 
Back
Top Bottom