Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,151
- 7,435
Dah
Mbappe si mweusiMbona Mbappe anafunga?
Au joto linachagua wafaransa
😁😁😁 Kwa hiyo wewe mzunguChumaaaaaa semeni kingine tena nyie wachawi kutoka kongo.
Heheee si umeona walivyofungwa kizembe…..Mara nyingi sana team za Africa hua zinaharibu dakika za mwishoni.
Kutolewa ni lazima hilo wala halihitaji mjadala,majinga haya.Heheee si umeona walivyofungwa kizembe…..
Football IQ ya Waafrika ni ndogo sana.
Hapo kwa nini walimwacha Harry Kane peke yake? Huyo inapaswa awe double teamed muda wote.
Wanatolewa leo 😀