Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,201
- 21,295
Kwani saka, madunduka, rashford na wengineo ni wazungu? Mimi kiufupi ni shabiki wa England na leo tutampaka mafuta hawa bamutu ba kongo bapende basipende.😁😁😁 Kwa hiyo wewe mzungu
Kwani saka, madunduka, rashford na wengineo ni wazungu? Mimi kiufupi ni shabiki wa England na leo tutampaka mafuta hawa bamutu ba kongo bapende basipende.😁😁😁 Kwa hiyo wewe mzungu
Wafungwe hata 10 sawa tu.Hawa na la pili watafungwa mmmhh 😪
Top scorers ni black?Mbappe si mweusi
Afadhali wakuu wamefata maelekezo
Madunduka ni Nan, Mimi mwenyewe nipo upande wa mkoloniKwani saka, madunduka, rashford na wengineo ni wazungu? Mimi kiufupi ni shabiki wa England na leo tutampaka mafuta hawa bamutu ba kongo bapende basipende.
Top scorer si Mbappé kwani kuna mwingine?Top scorers ni black?
Wa chini yake.Top scorer si Mbappé kwani kuna mwingine?
Mkuu wala usipoteze muda wako kuwashabikia hao weusiinakuaje striker wa pekee anapata nafasi ya kuiga free header ndaani 6 yard? ni upumbavu tu