Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,385
Mpaka muende mkawatawale kama wakoloniDuh!.. mabeberu watatufunga hivi mpaka lini?...
Mpaka muende mkawatawale kama wakoloniDuh!.. mabeberu watatufunga hivi mpaka lini?...
Nilichogundua kwa watu weusi wao tu kushiriki WC wanaona ni kitu kikubwa hata wakitokea hapo sio mbaya.Mimi nilivyoona mechi za hatua za makundi nilikata tamaa na timu za ngozi nyeusi kutoka Afrika sababu ni kukosa magoli kipuuzi na mentality ya kudefense hata kama timu unaiweza
Dharau hii..Nilichogundua kwa watu weusi wao tu kushiriki WC wanaona ni kitu kikubwa hata wakitokea hapo sio mbaya.
Tutumie wafungaji waliozaliwa kwao au kulelewa kule.Duh!.. mabeberu watatufunga hivi mpaka lini?...
Sasa kama hapo Mayele utamwambia nini🤣Nilichogundua kwa watu weusi wao tu kushiriki WC wanaona ni kitu kikubwa hata wakitokea hapo sio mbaya.
Sababu kuu ana character kama za Raphina. Pressing and resilient. Barca hua hawakurupukiLeo ndio nimeona kwanin Barcelona wamemsajili Gordon
Au watangulie tu kufunga hata goli moja,kisha hata wakipigwa 5 huona ni sawa tu.Nilichogundua kwa watu weusi wao tu kushiriki WC wanaona ni kitu kikubwa hata wakitokea hapo sio mbaya.
Lakini Mbappe ni mweupe sana kuliko hata baadhi ya wazungu.Mimi nilikuwa nasemea tu rangi ya Mbappé wala sikubali kuwa sababu ni joto
Congo outtttttttt!
Subiri kidogo tu utaona maamuzi ya ajabu ya Refa.
Umeanza kunichekesha sasa Mbappé ni mweupe kuliko mzungu gani?Lakini Mbappe ni mweupe sana kuliko hata baadhi ya wazungu.
Kwa hiyo tatizo ni kuzaliwa au kulelewa Africa?Tutumie wafungaji waliozaliwa kwao au kulelewa kule.