Mimi nilikuwa nasemea tu rangi ya Mbappé wala sikubali kuwa sababu ni jotoWa chini yake.
Namaanisha Haaland
Karibu sana mtaniHahahaaa. Ngoja kwanza tumalizane kwanza team Cape Verde 🤣🤣
Mkishavuka hapo tutaenda pamoja Mtani.
Noma sanaMara nyingi sana team za Africa hua zinaharibu dakika za mwishoni.
Ni mwekundu sio?..Mbappe si mweusi